Friday, December 14, 2012

BANCABC SPONSORSHIP OF PHENOMENAL WOMAN 2012


Razia Mwawanga akipokea ufadhili.





Mratibu na Congamano la Wanawake Phenomenal Woman 2012, litakalofanyika Jumamosi, 15/12/2012,City Christian Center, Mkabala na Mzumbe University, Raziah Mwawanga akipokea ufadhili wa 2,000,000/- kutoka kwa Olympia Fraten, Afisa Masoko Msaidizi wa BancABC ofisini kwao, kuchangia maandalizi ya kongamano hili litakalowajengea wanawake wanataaluma, wafanya biashara pamoja na wajasiriamali elimu ya bidhaa za benki na riba, masoko ya mitaji na hisa, huduma za bima pamoja na kuwatutanisha na wanawake waliofanikiwa kubadilishana uwezoefu.

No comments:

Post a Comment