Bila kujali mvua kubwa inayonyesha,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba
mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto .katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya
Ilala.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo
serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto
katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya
Ilala.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
mmoja wa walionufaika na hatua ya serikali ya kujenga nyumba mpya 35 kwa
ajili ya waathirika wa mabomu Gongo la Mboto,katika eneo la Msogole, Toangoma,
Wilaya ya Ilala.. Mama huyu ambaye alipoteza mume, amejengewa nyumba ya vyumba
vitano pamoja na fremu ya duka.
Baadhi ya nyumba mpya 35
ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto ,katika
eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala kama zinavyoonekana baada ya
kuzinduliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Nyumba nzui na za kupendeza hii ilikua kabla ya uzinduzi.
Nyumba siku hizi zina aina nyingi za rangi zenye kuvutia!
Muonekano mwingine.Mvuto unaendelea!
No comments:
Post a Comment