Monday, December 31, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI PADRI AMBROSE MKENDA ALIYELAZWA MUHIMBILI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia Padri Ambrose Mkenda, wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae Zanzibar, leo Desemba 30, 2012 aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana na majeraha aliyoyapata kwa kujeruhiwa na risasi na watu wasiojulikana wakati akiwa getini akisubiri kuingia nyumbani kwake mjini Zanzibar hivi karibuni. Kulia ni Muuguzi mwangalizi wa mgonjwa huyo, Namsifu Fue.

Friday, December 28, 2012

Thursday, December 27, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMTEMBELEA MZEE SAID NOOR ABDULKADIR NA KUTEMBELEA KITUO CHA MAFUNZO YA KOMPYUTA CHA CHWAKA, MKOA KUSINI UNGUJA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakimsalimia Mzee Said Noor Abdulkadir, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake, Tunduni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,  Desemba 23, 2012. Mzee huyo anasumbuliwa na maradhi ya mguu kwa muda wa miaka 13.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZULU KABURI LA HAYATI IDRIS ABDULWAKIL​, MAKUNDUCHI​, AMTEMEBELE​A MZEE ALI KHAMIS ABDALLAH MWASISI WA AFRO SHIRAZ PARTY

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) akiwa mbele ya Kaburi la Rais wa zamani wa Zanzibar  Hayati Idris Abdulwakil, wakati alipozuru Kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja juzi. Rais  Wakil alifariki dunia mwaka 2001. Dk Bilal alifika  eneo hilo  juzi katika ziara yake ya kuwatembelea  wazee mbali mbali mkoani humo,

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA RASMI KITUO CHA POLISI CHA KIBOJE ZANZIBAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaliminana na maofisa wa Usalama wa Wilaya ya Kati, wakati alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kufungua rasmi Kituo cha Polisi cha Kiboje, kilichpo Mkoa wa Kusini Unguja leo

Padre Ambrose Mkenda Apigwa Risasi Zanzibar



Padre Ambrose Mkenda  


Padre anayejulikana kwa jina la Ambrose Mkenda amepigwa Risasi na Watu wasiofahamika kwenye gate la nyumbani kwake wakati akifunguliwa gate aingie nyumbani kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar, ambako ndiko makazi yake yalipo akiwa ndani ya gari aliyokuwa akiendesha pekee yake.
Hali yake sio nzuri kwani Risasi aliyopigwa imemdhuru maeneo ya mdomoni.Waliompiga Risasi Padre huyo inasemekana ni watu waliokuwa kwenye pikipiki.

Monday, December 24, 2012

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APANIA KUWA BINGWA WA TAIFA




NI dhahiri kuwa vipaji vikiibuliwa tangu utotoni na kuendelezwa vyema vijana wanakuja kuwa wazuri ukubwani na kulitangaza vyema taifa nchi za nje.
Hali hiyo inadhihirika kwa kijana Ibrahim Class 'king Class Mawe' ambaye anafanya vizuri katika medani za ngumi  ambazo zinamsaidia kuinua kiwango chake.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA NA KUWAJULIA HALI WAZEE WA MKOKOTONI-MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu .

Thursday, December 20, 2012

MTOTO WA DKT. SALMIN, AMIN SALMIN AMKANA 'NDUGU JAMBAZI' KASSIM RAMADHAN JUMA

Amin Salmin




 Adai si ndugu yao na hapaswi kutumia jina la Baba yake
MTOTO wa pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Zanzibar, Dk. Salmin Amour, Amin Salmin, ameibuka na kukanusha vikali kuwa 'Ndugu Jambazi' Kassim Ramadhan Juma (27) aliyeripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kukamatwa kwa ujambazi kuwa si ndugu yao katika familia.

Wednesday, December 19, 2012

KUTANA NA NUSRA MAGULUKO (28) MWANAMKE JASIRI ANAYEENDESHA BASI LA SHABIBY, DAR-DOM

NUSURA
 Dereva Mwanamke wa Basi la la Shabiby, Nusra Maguluko, akizungumza wakati alipoalikwa mbele ya viongozi kutoa ushuhuda kuhusiana na kazi yake ya Udereva wa magari makubwa kama Mwanamke, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Kampuni ya usafirishaji ya DHL, iliyofanyika siku za hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Nusra alialikwa katika hafla hiyo baada ya kuwa ni mmoja kati ya wanawake waliopata tuzo za Usafirishaji kutoka kampuni hiyo ya DHL.
***********************************

HUYU NDIYE MWIZI WA VIFAA VYA MAGARI DAR





Ile kauli ya Waswahili kuwa Za Mwizi ni Arobaini,ndio ilifikia kwa ndugu huyu aitwae Khasim Ramadhan Juma ambaye ni kiboko kwa uwizi wa vifaa vya magari ya Watu hapa jijini Dar es Salaam,zikiwemo Side mirror,power window,taa za magari na vitu vingine kibao.Mtuhumiwa huyu alidakwa hivi karibuni maeneo ya Mbezi Beach katika hotel ya Farway,baada ya kumuibia Mdau mmoja wa mkazi wa Dar ambaye aliweza kumkata kwa kutumia mtandano wa kiteknolojia ya compyuta na kutiwa nguvuni na wanausalama. 

Tuesday, December 18, 2012

Phenomenal Woman Conference Pictures



Emilian Busara, Mtaalam wa Masoko ya Hisa, Hisa na Uwekezaji akitoa Mada katika Kongamano la Pili la Phenomenal Woman.

Hoteli ya kitalii Ikondolelo Lodge iliyoko Kibamba Jijini Dar es salaam , Imeteuliwa kuwa Kambi Rasmi ya warembo Mwaka huu 2012.




HoteliyakitaliiIkondolelo Lodge iliyokoKibambaJijini Dar essalaam ,ImeteuliwanaBodiyamashindanoya Miss Utalii Tanzania kuwa Hotel RasmiyamashindanohayoMwakahuu 2012.
Mchakatowauteuziulihusisha Hotel zaidiyasabazilizojitokezakudhaminifainalizataifaza Miss Utalii Tanzania 2012.
KwaIk

Monday, December 17, 2012

RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 192 NA KUFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI


Amiri Jeshi  Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, Jumamosi Desemba 15, 2012 tayari kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi  Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua  gwaride la  maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha.

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AWAONGOZA WAUMINI WA KIISLAMU KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1434 HIJRIYYA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa sherehe za kuupokea Mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya, zilizofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaamjana.

SERIKAKALI YABARIKI MAANDALIZI YA FAINALI ZA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013


VIONGOZI WA BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA) WAKIWA KATIKA MKUTANO WA  MAANDALIZI YA FAINALI ZA TAIFA ZA MISS UTALII TANZANIA  NA BODI  YA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013 ZITAKAZO FANYIKA HIVI KARIBUNI.

Friday, December 14, 2012

AIRTEL YA YAIBUKA NA TUZO YA UTENDAJI BORATOKA ASSOCIATIONS OF TANZANIA AWARD 2012


Ni msimu wa sikukuu na tuzo! HONGERA AIRTEL


 Airtel waibuka kidedea na tuzo ya utendaji bora (performance management)

BANCABC SPONSORSHIP OF PHENOMENAL WOMAN 2012


Razia Mwawanga akipokea ufadhili.

RAIS KIKWETE AKABIDHI NYUMBA MPYA 35 ZA WALIOATHIRIKA NA MILIPUKO YA MABOMU YA GONGO LA MBOTO




Bila kujali mvua kubwa inayonyesha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto .katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa  kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto  katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala.

RAIS KIKWETE LEO AMEZINDUA RASMI MRADI WA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC KIUBADA, TEMEKE










Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Kushoto ni Mama Salma Kikwete, kulia ni Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, anayefuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu,

MWANAMUZIKI KOFFI OLOMIDE AWASILI DAR




Watangazaji wa Clouds FM na Clouds TV pichan shoto ni Millard Ayo na Ben Kinyaiya pichani kulia wakifanya mahojiano mafupi na Mwanamuziki Koffi Olomide mara baada ya kuwasili usiku huu  kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),jijini Dar.Koffi alitanabaisha kuwa yeye amekuja nchini Tanzania kwa mara nyingine tena kuwaburudisha na kuwaonesha vipaji alivyo navyo sasa ndani ya kundi lake la Quartier Latin. 



Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akimlaki (mgeni wake) ,Mwanamuziki nyota wa dansi kutoka nchini DRC-Kongo,Koffi Olomide mara baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Serena,jijini Dar usiku.Mwanamuziki huyo machachari awapo jukwaani ameshuka na skwadi lake zima la Quartier Latin  kwa ajili ya kutumbuiza siku ya jumamosi ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar na jumapili jijini Mwanza ndani ya uwanja wa CCM-Kirumba,ambapo kiingilio kimepangwa kuwa ni  shilingi 10,000/= kwa shilingi 15,000/= getini.

Thursday, December 13, 2012

BABA MTAKATIFU ATWEET KWA MARA YA KWANZA


Maafisa wa Vatican wakishuhudia!
The Pope himself mtandaoni

GOD IS THE GOD OF MIRACLES A MUSLIM MAN KILLED HIS WIFE BECAUSE SHE READ BIBLE




A Muslim man in Egypt killed his wife because she was reading the Bible and then buried her withtheir infant baby and an 8-year old daughter. The girls were buried alive! He then reported to the police that an uncle killed the kids. 15 days later, another family member died.When they went to bury him, they found the 2 little girls under the sand -ALIVE! The country is outraged over the incident, and the man will be executed..The older girl was asked how she had survived and she says:-'A man wearing shiny white clothes, with bleeding wounds in his hands, came every day to feed us.He woke up my  mom so she could nurse my sister,' she said. She was interviewed on Egyptian national TV, by availed Muslim woman news anchor.

BABA AUA MWANAWE KWA UGOMVI KATI YAKE NA MKEWE!

Wednesday, December 12, 2012

AIRTEL YAANZA SHAMRASHAMRA ZA CHRISTMAS


Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (katikati), akizungumza na mmoja wa wateja mashuhuri wa kampuni hiyo, Jaji Joaquine Antoinette De-Mello(kushoto) katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society  lililodhaminiwa na Airtel katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Wateja wa Makampuni wa Airtel. Irene Madeje.
Kikundi cha kwaya cha Dar Choral Society kikitumbiza katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya hiyo  lililoandaliwa na  Airtel kwa wateja wao wa makampuni  katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam .

RAIS KIKWETE APOKEA MAJENGO MAPYA MATATU YA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO DAR ES SALAAM



Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam .

UONGOZI WA SKYLITE BAND WATOA TAMKO


Skylite Band.

Uongozi wa Skylight Entertainment na Skylight Band, unatoa tamko la kulaani kitendo cha watu wachache waovu wenye tabia ya kuvuruga Amani kwenye sehemu za burudani. Tunapenda kuwahikikishia wapenda burudani wa jiji la Dar es Salaam kuwa tutaendelea kutoa burudani mpya na inayokidhi kiu cha muda mrefu cha wapenda burudani katika fani ya muziki wa live.

RAIS WA ZAMANI WA MADAGASKA MARC RAVALOMANANA AMEKUBALI KURUDI NCHINI KWAKE.

 Rais Kikwete akizungumza na Wahariri na waandishi wa habari  waandamizi Ikulu jijini Dar-Es-Salaam ambao hawapo pichani.

Tuesday, December 11, 2012

KONGAMANO





Are you a Professional, Entrepreneur and Business woman who wants financial, investment and Insurance freedom?

Have you ever wondered why other women have succeeded and not you?  ever wondered why other women have succeeded and not you?
Do you want to know  secrets of successful women?
Do you want a New You in the New year....

Here's the secret on how to liberate yourself financially in 2013
This is the best treat for you this Christmas, come Discover the hidden Wealth in You...

Learn from the Tanzania’s best Gurus and Icons in Investment, Business, and Entrepreneurs, Banking and Insurance professionals so that you can make better and wiser decisions in the coming year and in the future

MIYAYUSHO ALIVYO 'MYAYUSHA' NASSIB NA KUTWAA MKANDA WA UBINGWA WBF



Sehemu ya mashabiki waliojitokeza kushuhudia pambano hilo.


 Hapa ni wakati Nassib, akiingia ukumbini hapo kupanda ulingoni kwa ajili ya kuanza pambano hilo.


 Hapa ni wakati Miyayusho akiingia ukumbini hapo kupanda ulingoni kwa ajili ya kuanza pambano hilo.

RAIS KIKWETE AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI KWA MWAKA 2012




Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hito wakati wakisubiri kutunukiwa.
03:- Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Alhaj Ramadhan Mussa Kijjah-Wizara Fedha, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.



Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la 1, Dkt. Mohamed Seif Khatib- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Ludovick Silemwa Lemnge Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Monday, December 10, 2012

Mantra Tanzania supports Utete Tailoring Mart


The Mantra Tanazania Managing Director Asa Mwaipopo(left)  hands over the state of the art sewing machine to the Utete Tailoring Mart Head Atnas Nyumbi (right) as part of the company’s support to community development projects in Ruvuma Region.

Friday, December 7, 2012

Ziara ya Naibu Waziri wa Kutembelea Viwanda naKujionea Uchafuzi wa Mazingira


Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akionyeshwa Mfumo wa Maji taka ya Kiwanda cha Kutengenezea Madawa na Haed Quality Bi Shemina Peera-Sonji Wakati alipofanya ziaraya Kutembelea Viwanda na Kuangalia Mfumo wa Majitaka kwenye Kiwanda cha Shellys Phoarmaceuticals kilichopo Mikocheni  Mijni Dar es Salaam.

PRESIDENT KIKWETE HOSTS DINNER FOR GAVI FORUM MEETING MEMBERS AT STATE HOUSE



President Jakaya Mrisho Kikwete greets Former First Lady of South Africa  Mama Graca Machel as the First Lady of Zambia Mama Satta looks on during a dinner he hosted for members of the  5th Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) Partners Forum at the State House in Dar es salaam. Others in the picture are Mr. Dagfinn Hoybraten, Chairman of the GAVI Board and Dr. Seth Berkley, CEO of GAVI.

PHENOMENAL WOMAN DECEMBER CONFERENCE 2012






WHAT: 2ND PHENOMENAL WOMEN CONFERENCE
WHERE: CITY CHRISTIAN CENTER (CCT), OPPOSITE MZUMBE UNIVERSITY, UPANGA
WHEN: SATURDAY, 15/12/2012, 8.00 AM T0 5.00PM

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA 3 KATI YA 7 TU WAISHIO MEXICO.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu, (wawili kushoto) na mmoja (kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao. 

MWANDISHI KUPIGWA RISASI



Shabani Matutu (30)

Ndugu wapendwa,
DSM City Press Club imepata taarifa  za kushtusha kufuatia ya kupigwa
risasi  na kujeruhiwa begani kwa mwandishi wa Tanzania Daima Bwana
Shabani Matutu (30) ambaye pia ni mwanachama wa Dar City Press Club
(DCPC). Sambamba na taarifa hizo imeelezwa kuwa mwandishi huyo
amelazwa katika Taasisi ya mifupa katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili (MOI). Chanzo hasa cha kupigwa risasi kwa mwandishi huyo
bado hakijaeleweka kwa DCPC, uongozi wa DCPC unafuatilia.

GLAMOUR AS TURKISH AIRLINES’ 200TH PLANE MAKES MAIDEN FLIGHT TO KIA



The Turkish Airlines B737-900 plane shortly before touching the ground at Kilimanjaro International Airport (KIA). The plane is set to embark on the Istanbul Ataturk – Kilimanjaro – Mombasa route five times a week.


The Turkish Airlines B737-900 plane being welcomed at Kilimanjaro International Airport (KIA) by a water salute as the company launched its maiden flight for the Istanbul Ataturk – Kilimanjaro – Mombasa route.