Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa
dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya
moto mtoto huyo kisha kukatwa mkono hospitali, amehukumiwa kifungo cha maisha
jela.Pichani kushoto ndiye mtuhumiwa mwenyewe akisomewa hukumu, kulia juu ni
mtoto Aneth baada ya kuunguzwa, chini kushoto ni Aneth baada ya kukatwa mkono.
No comments:
Post a Comment