Parachuti zikianza kuruka!
Safari imenza! hapa ni kabla ya ajali'
Shughuli imekwisha! idadi ya waliokuwemo haijulikani ingawa inaelezwa kua 19 wamepoteza maisha.
Kikosi cha uokozi kikitazama mabaki ya parachuti hilo na pengine kama kuna manusura.
mabaki ya parachuti hilo
Masalia ya mitungi ya gesi iliyokuwemo katika parachuti hilo.
Mabaki ya miili ikiondolewa eneo la tukio
Eneo la tukio na mashuhuda kwa mbali gari za dharura zikisubiri
Askari eneo la tukio
Utalii wa kutumia parachuti huko Masri si jambo geni! ila ajali ni ajali. poleni ndugu zetu.
No comments:
Post a Comment