Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Seneta, Stive King, wakati alipofika katika Ofisi yake iliyopo
katika jingo la Ofisi za Maseneta wa Marekani, akiwa katika ziara yake ya siku
nne katika jiji la Washngton Dc nchini Marekani.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton
Dc, .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton Dc, katika Hoteli ya Omni Shoreham.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, nchini Marekani
katika jiji la Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao alipowasili jijini humo
kuanza ziara yake ya siku nne, i. Wa kwanza
(kushoto) ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa tano
kutoka kushoto) ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mahadhi
Juma Maalim.
No comments:
Post a Comment