Wednesday, February 13, 2013

KWARESMA IMEWADIA! MFUNGO MWEMA WAKRISTO WOTE ULIMWENGUNI



 
 Leo ni jumatano ya majivu! mwanzo wa Kwarezma, siku arobaini za mfungo wa kwaresma kumbukizi ya mateso ya bwana wetu Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita.


Ikumbukwe kwamba majivu ni salio la moto! na hutupwa! ila majivu yakisugua sufuria yenye masizi huwa nyeupe pe! japo tu wadhaifu tuna thamani zaidi ya majivu! KWARESMA NJEMA!

No comments:

Post a Comment