Vazi la kiubunifu!
Casual
Picha ya pamoja ya warembo hao na utambulisho wao uko kwenye belts zao!
Miss Utalii Tanzania 2012/13 wiki hii wataanza ziara ndefu ya kutembelea Hifadhi za
Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es salaam,Morogoro,Mtwara,Lindi
na Pwani. Vivutio hivyo ni pamoja na Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa,
Saadani, Selous, pia maeneo ya kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha
makumbusho,Makumbusho ya Taifa, Pugu sekondari,maeneo mengine ni ufukwe wa
kigamboni, soko la kimataifa la magogoni, uwanja wa taifa, J.K.Nyerere Air
Port, Soko la kariakoo, mashule ya sekondari na msingi, pia watatembelea
manispaa za ilala, temeke na kinondoni ambapo watakutana na viongozi wakuu wa
wilaya, mikoa, na wabunge katika majimbo ya mikoa hiyo.
No comments:
Post a Comment