Wafanyakazi zaidi ya 65 wa kiwanda cha kutengeneza fulana cha Mazava kilichopo
Msamvu mkoani Morogoro wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro,
zaidi ya 30 wakipoteza kabisa fahamu, baada ya kukosa hewa, kufuatia hitilafu ya
umeme iliyotokea kiwandani hapo na kusababisha moshi mzito.
No comments:
Post a Comment