NDEGE ILIYOBEBA MWILI WA MAREHEMU SHEKH ATHUMANI MAGEE
Friday, January 31, 2014
POLL: FORTY PERCENT WOULD STEER KIDS AWAY FROM FOOTBALL
SERIKALI YAJIBU GAZETI LA SERIKALI YA RWANDA BAADA YA KUMSINGIZIA UONGO KIKWETE
Thursday, January 30, 2014
MO PLANS TO BUILD A USD 5 BILLION EMPIRE OUT OF DAR
KING CLASS MAWE ASAINI MKATABA WA KUPAMBANA NA COSMAS CHEKA
SPIKA WA BUNGE MH. ANNE MAKINDA ATEMBELEA MAKAZI YA BALOZI MODEST MERO, GENEVA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.
Anne Makinda ametembelea makazi ya Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja
wa Mataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero,
kumsalimu na pia kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya
watanzania waishio Uswisi. Mh. Spika
pamoja na ujumbe wake alikuwa Geneva, 27-28 Januari 2014, kuhudhulia kikao cha
kwanza cha kamati ya Maspika kwa ajili ya kuandaa mkutano mkuu wa Dunia wa
Maspika.
Mh. Spika Anne Makinda akishukuru baada ya
kukabidhiwa nakala ya
Katiba ya Jumuiya ya Watanzania
Friday, January 17, 2014
RAIS KIKWETE AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA IKULU JIJINI DAR
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akiwa kwenye Manzungumzo na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini.(picha na Freddy Maro).
RAIS KIKWETE AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUGA MWILI WA GEORGE LINDI KARIMJEE DAR
RAIS WA TFF AKITEUA KITUO CHA ALLIANCE ACADEMY KUWA KITOVU CHA MAANDALIZI YA U17 WA MWAKA 2019
ZIARA ya Rais wa TFF Jamal malinzi hatimaye imemelizika leo hapa jijini Mwanza kwa matukio mawili makubwa kufanyika.
Wednesday, January 15, 2014
HILI NDILO DAMPO JIPYA NA LA KISASA LA KUTUPIA TAKATAKA LINALO JENGWA JIJINI MBEYA.
Huu ndio mwonekano wa Dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi upo katika hatua za mwishoni
Friday, January 10, 2014
UMEWAKOSEA NINI? NDILO SWALI LANGU,LAKINI JIBU WANALO WAO
Mshindi wa taji la
urembo wa Venezuela mwaka 2004 (Miss Venezuela 2004) Monica Spear ameuawa kwa
kupigwa risasi na majambazi jumatatu, January 6.
Kwa mujibu wa The
Associated Press, Majambazi hao pia walimuua kwa risasi mumewe Henry Thomas
Berry aliyekuwa naye kwenye gari, na kumjeruhi mguuni mtoto wao wa kike mwenye
umri wa miaka 5
Thursday, January 9, 2014
WADAU WA AFYA SINGIDA WARIDHIA MPANGO WA TIBA KWA KADI
Wednesday, January 8, 2014
SAFARI YA BONGE NA MIAKA 14 YA CLOUDS FM YAFANA JIJINI MWANZA.
Tuesday, January 7, 2014
SERIKALI MBILI NDIO NGUZO YA MUUNGANO – NDEJEMBI
Monday, January 6, 2014
ULIMWENGU WAMWOMBEA MICHAEL SCHUMACHER
MWANANDONDI TYSON APIGWA MARUFUKU KUINGIA UINGEREZA
EUSEBIO AFARIKI DUNIA
EPZA, TPA ZAFIKIA MAKUBALIANO KUENDELEZA ENEO HURU LA BANDARI MTWARA
Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Uendelezaji wa Eneo Huru la Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm
Meru (aliyekaa kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania
(TPA), Mhandisi Madeni Kipande (aliyekaa kulia) wakitia saini makubaliano ya
uendelezaji wa hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara mwishoni mwa wiki
jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia); Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara, Bw.Gregory Teu (kushoto) na mwanasheria wa TPA, Bi. Koku Kazaura
(katikati).
LAZIMA UGANGAMALE SI MCHEZO!
RAIS KIKWETE NA MAKAMU DKT. BILAL WAWAONGOZA WANANCHINKUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DKT. MGIMWA VIWANJA VYA KARIMJEE DAR.
Rais Jakaya Kikwete na
mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili
wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli
za kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam,. Mwili huo umesafirishwa kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko.
Friday, January 3, 2014
Thursday, January 2, 2014
WAZIRI WA FEDHA AFARIKI DUNIA
Subscribe to:
Posts (Atom)