Friday, January 3, 2014

NENO LA LEO



Zitto Kabwe · 32,934 followers

    Nimepeleka shauri langu mahakamani ili chama kifuate katiba cha chama kwa kusikiliza kwanza rufaa yangu kwenye baraza kuu kuhusu uamuzi wa awali wa kunivua nafasi za uongozi. Katika maombi yangu hakuna ombi la chama kuzuiwa kufanya shughuli zake.

 Nimeomba mahakama kuzuia kamati kuu kujadili suala langu mpaka hapo rufaa yangu itakaposikilizwa na kikao kikubwa zaidi cha chama, Baraza Kuu. Mengine ni propaganda na zipuuzwe. Mahakama ni Chombo cha kutoa haki na ndio kimbilio la kila raia

No comments:

Post a Comment