JE
WAJUA?
The Nyama Choma Festival Ilizinduliwa Rasmi Juni 2011 kwenye Ukumbi wa
Habari Maelezo Jijini Dar es Salaam. Kwenye Picha ni Wadhamini wa #NCF wa Mwaka
2011 na mwakilishi wa Waandaji(kutoka kushoto) Oscar Shelukindo, Carol Ndosi na
Jasper Maston (aliyekua mwakilishi wa Coca Cola.
No comments:
Post a Comment