Mtanzania Juma Rajabu
Rashid aka Cheche ni mmoja kati ya muigizaji katika moja ya Tamthilia
inayopendwa Barani Afrika ‘Siri Ya Mtungi’ ameweza kuingia katika kinyanganyiro
cha Africa Magic Viewers Choice Awards kama Muigizaji Bora wa kiume kwenye Tamhtilia.
Mashindano
yatayafanyika nchini Nigeria katika mji wa Lagos mwezi wa tatu mwaka huu,
kumbuka kumpigia kura Cheche kwa kutuma 2a kwenda namba +2783142100415 au
kwenye mtandao-> htt: / / goo.gl / o72lu5 !
Kumbuka unaweza kupiga
kura mara nyingi zaidi kila baada ya saa moja kama Muigizaji Bora wa kiume
kwenye Tamthilia/ Drama!
No comments:
Post a Comment