Monday, January 6, 2014

LAZIMA UGANGAMALE SI MCHEZO!




Mama anatoka kuchota maji kisimani na tabasamu tele usoni, sasa atafanyaje , Baba anaweza kua amekaa kibarazani, anangojea maji ya kuoga, apikiwe ale na abembelezwe usiku alale, na watoto na kila watakacho! Msikilizaji mkuu ni mama , mama chamoto anakiona! Sijui tumeumbwa kwa udongo gani.


No comments:

Post a Comment