Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.
Anne Makinda ametembelea makazi ya Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja
wa Mataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero,
kumsalimu na pia kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya
watanzania waishio Uswisi. Mh. Spika
pamoja na ujumbe wake alikuwa Geneva, 27-28 Januari 2014, kuhudhulia kikao cha
kwanza cha kamati ya Maspika kwa ajili ya kuandaa mkutano mkuu wa Dunia wa
Maspika.
Mh. Spika Anne Makinda akishukuru baada ya
kukabidhiwa nakala ya
Katiba ya Jumuiya ya Watanzania
Picha ya pamoja,
Mh. Modet Mero, Mh. Anne Makinda na mama Mero,
kwenya makazi ya balozi.
Mh. Spika katika picha ya pamoja na Mh. Balozi Modest
Mero na
viongozi wa
Jumuiya ya Watanzania waishio Uswisi
No comments:
Post a Comment