Friday, January 17, 2014

RAIS KIKWETE AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA IKULU JIJINI DAR

D92A7409
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akiwa kwenye Manzungumzo na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini.(picha na Freddy Maro).

D92A7429
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini.
D92A7441 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipitia nakala hiyo huku Bw. Kacou akiendelea kutoa maelezo ya Ripoti hiyo. D92A7456
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahi jambo Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou aliyemaliza muda wake wa utumishi nchini.
D92A7486
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou.
D92A7489
Asante kwa ushirikiano na karibu tena Tanzania....Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini (Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini.(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment