Saturday, June 9, 2012

The Grammy Award Winning Singer Lauren Hill Anakabiliwa na Kifungo


Laurin Hill
The Grammy Award Winning Singer Lauren Hill,anakabiliwa na kifungo cha mwaka mmoja jela,kwa kosa la malimbikizo ya kodi ambayo hajalipa.
The wall Street Journal imeriport kuwa mwanasheria Paul J. Fishman alitangaza kuwa katika makosa 3, yaliyokuwa yana mkabili mdada huyo,ambaye ameshindwa kulipa kodi kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo.
Laurynn Hill ambaye inasemekana hakulipa kodi zake kwa mwaka 2005,2006, na 2007.
Na kulingana na IRS,ambayo ni kama TRA ya hapa Bongo, wamesema kuwa the fomer fugees huyo ameshindwa kulipa kodi ya mapato ambayo imefikia dollar za kimarekani milioni 1.6.
So My Laurynn Hill anakabiliwa na kifungo cha mwaka 1 jela na faini ya dola za kimarekani laki 1.

No comments:

Post a Comment