Justin Bieber amepata mtikisiko wa ubongo baada ya kugonga kichwa chake chini tangu may 31 kwenye show yake mjini Paris. Bieber alieleza kua katikati ya wimbo aliokua akiperfom alikimbilia kwenye ukuta wa kioo nyuma ya jukwaa na alipatwa na baridi kama ya dk 15 alipokua akitoka katika chumba chake cha kuvalia na madaktari wamethibitisha hilo lakini wamewaondoa wasiwasi mashabiki wake kua hana hatari inayomkabili
Bieber kwa sasa yuko ziarani ulaya kuifanyia promo album yake ya Believe ambayo inatarajiwa kuzinduliwa june 15.
No comments:
Post a Comment