Spencer
West alipoteza miguu yake yote miwili
alipokua na umri wa miaka 5 kutokana na tatizo la ugonjwa uliokua unashambulia
viungo ,lakini hilo halikumzuia kuupanda mlima mrefu barani Africa Kilimanjaro!
Spencer kwa sasa
ana miaka 31 na anatokea Toronto, nchini Canada, na aliweza kufikia kilele Jumatatu hii
mlimani Kilimanjaro, June 18,kwa kutegemea mabega yake tu kumsukuma mbele!
akitumia siku 7 West
ameweza kukwea futi 6,552 Kilimanjaro, urefu
ambao ni sawa na futi 19,340 usawa wa bahari. Congrats Spencer West !!!!!!!!
No comments:
Post a Comment