Utafiti wa viashiria vya Malaria na ukimwi nchini kwa mwaka 2010/2011 unaonesha kua theluthi moja ya wanaume walio oa wamekiri kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ambapo kwa upande wa wanawake walio olewa asilimia 16 wamo kwenye mahusiano ya aina hiyo.
Mwenyekiti mtendaji wa tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania Dk Fatma Mrisho amesema jijini Dar-es –Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘TUKO WANGAPI,TULIZANA kua watu walio kwenye kundi hilo wanafikiri kwamba hawako katika hatari ya maambukizi ya magonjwa ya ngono ikiwemo kutokana na kuwa wapenzi wawili au watatu kwa muda mrefu. Dr Geofrey Kiangi ameitaka jamii kuingia katika mapambano ya kupunguza maambukizi mapya ya vvu kwa kujiepusha na mtandao wa wapenzi zaidi ya mmoja

Dk.Mrisho ambayea likuwa mgezi rasmi katika uzinduzi huo uliofanyika leo kwenye hoteli ya Golden Tulip amesema kwamba kampeni hiyo imelenga kuongeza idadi ya Watanzania wanaojua maana ya mtandao wa ngono, hatari ya kuambukizwa VVU kutokana na kuwa mmoja ya wanamtandao wa kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja
mmoja kati ya wasanii walopamba uzinduzi huo, Dogo Aslay!Naenda kusema kwa mama ,kusemaaah!!!
ah MarcReagan wee unanikosha sana unapoigiza kama demu huwa unauvaa uhusika asilimia mia, uh sema na jamaa basi hapo mko wangapi? lol ghahahhaha.
Jiachie bibie eh, lakini waringa ushajiuliza ama kumuuliza mko wangapi? hahahh utajuta ukitaka kusikia!!!!
mpaka hapa naamini ushapata jibu kwa namna Marc alivyoonesha uhalisia wa mapenzi kitaa yalivyo na mkorogo wa kutosha! TUKO WANGAPI? TULIZANA!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment