Friday, June 22, 2012

Ijumaa Kareem!


Alex Kussaga anaungana na waislamu wote Tanzania, kuadhimisha siku hii kuu ya swala, nasikitika mi sio mpiga picha mzuri sikuweza kupata na miguu chini! ila jamaa ni super tall kinoma! dah Mungu kweli kaumba

No comments:

Post a Comment