Thursday, June 21, 2012

Prince Williams afikisha miaka 30 leo



Prince William leo anatimiza miaka 30 tangu kuzaliwa kwake na picha hii ya chini alikua pamoja na marehemu mama yake ana mdogo wake Prince Harry mjini London mwezi kama wa leo , June 15, 1985 


 
Prince Charles  akiwa amesimama na watoto wake Princes William  kushoto na Harry  pembezoni mwa mto Muick ,mwezi  August 16, 1995.


Mchezo waupendao familia ski, waliposimama kwa picha.anapoadhimisha miaka 30 hii ni hatua kubwa sana kwa ufalme, kwani siku moja Prince Williams anategemewa kua mfalme.

 

No comments:

Post a Comment