jina lake ni Eliamani mtoto wa William,dj huyu ni maarufu katika mixing hasa mabuzuki na mayenu ya kukata na mundu! leo hii ni siku yake ya kuzaliwa , alizaliwa tarehe na mwezi kama wa leo saa sita usiku mwaka 1966. katika tarehe,mwezi,mwaka,na saa vitu vyote hivyo humpa wakati mgumu dj Elly kutamka mwaka wake wa kuzaliwa ,mwenyewe anahofu watu watamwona amezaliwa mwaka wa shetani 66666 wenye taabu na mashaka.
Dj Elly alizaliwa mkoa wa Tanga wilaya ya Korogwe katika kijiji cha Manundu mjini, Dj Elly ana watoto wawili Martha mwenye miaka 16 amemaliza form iv na yuko chuo akisomea computer science na mtoto wa pili anaitwa Mary ambaye anasoma shule ya St Mary's.
Let the God decorate each
golden ray of the sun reaching u
with wishes of success,
happiness and prosperity 4 u,
wish you a super duper happy birthday.
No comments:
Post a Comment