Wednesday, June 6, 2012

Moto! Moto! Moto!



Moto mkubwa umezuka katika soko maarufu la MGANDINI mkoani Tanga ambapo moto huo ulizuka tangu saa kumi na moja alfajiri mpaka asubuhi.

No comments:

Post a Comment