Friday, June 22, 2012

Pb Team wana Maneno!


nimeipata asubuhi hii hapa hapa mjengoni! watoto wana maneno hawa! lakini ikiwa mtu anaweza kujizushia kua yeye ni usalama wa taifa unashindwa nini kua na T-shirt kama hiyo na kusumbua kitaa? tafakari, huyo ni Babra Hassan akiwa katupiamo.



                                        Nyani mzee ametupiamo! kaaaaazi kweri kweri!!!!!!!!


hahahhaha huyu amekataa kuonesha uso ila unaweza kumjua! PB wametupiamooooooo!!!!!!!! bado mmoja namvizia

No comments:

Post a Comment