ukiangalia ni kama huyo Dolphin yuko katika maisha yake ya kawaida ana furahia! kumbe sivyo tumboni amegandwa na pweza ati anamshambulia! ah pwezaaaa! kama humuoni vyema wacha nkuoneshe hapo chini.
Nadhani unamuona vyema pweza alivyong'ang'ana kama luba tumboni mwa Dolphin, sijui vita hiyo imeishia wapi kiukweli.
No comments:
Post a Comment