Wednesday, June 6, 2012

Kutoa ni Moyo Usambe ni Utajiri-Saidia


Athumani Khamisi


kabla ya ajali kumfikisha hapo alipo alikua na nguvu,uwezo na mvuto katika jamii. lakini ajali ya gari aliyoipata imemfikisha hapo alipo, kwa sasa anahitaji msaada wa makazi kwani hana kazi na hamudu kufanya chochote mpaka kwa msaada wa  mtu, isivyo bahati alikua hajajenga hivyo wenye nyumba zao wanataka kumfukuza huko aishiko kwa kukosa kodi ya nyumba, wenye mapenzi mema nawaomba mjitolee kumpa hifadhi ya kudumu ndugu yetu ili kumuepusha na fadhaa hiyo ya kutaka kutimuliwa kwenye makazi. namalizia hivi! Athumani hakutaka wala kuomba kua alivyo leo, kutoa ni moyo usambe ni utajiri, toa leo uone utakavyorudishiwa mara dufu na Mungu aliye hai.

tuma mchango wako CRDB BANK 01J227048800

M-pesa    07578257737

Tigo Pesa  0655531188

Airtel Money  0784531188  

Umoja na Mshikamano ndio ngao yetu sisi Watanzania.

No comments:

Post a Comment