Friday, June 8, 2012

live means live-ni Makofi tu!

                    






CHIMBACHIMBA ZA PRESENTER MDADA ZILISABABISHA AMWAGIWE MAJI








ILIAS KASIDIARIS MBUNGE MBABE



LADY LIANA ALIYETIWA MAKOFI


Polisi nchini Ugiriki wanamtafuta mbunge ILIAS KASIDIARIS  mmoja ambaye alidiriki kutumbuiza kwa makofi mbunge mwenzake wa jinsi ya kike wakati walipokua katika mahojiano ya live ya television ya Taifa la Ugiriki.


       
                                    UTUMBUIZAJI KWA MAKOFI DUUU!!!

ILIAS KASIDIARIS  alianza kwa kummwagia maji kwa glass  mtangazaji wa kike wa  live show hiyo lakini mwanasiasa  Liana Kanelli  ndiye aliyeanza  kurusha gazeti na kibao cha kwanza kwa kuona mwanasiasa mwenzake amefanya kitendo cha aibu kwa mdada wa watu! Lakini Liana alipata zaidi ya alichokipata mdada, na yeye ndo aliyebeba fedheha nzima ya tukio lile.


                                                         MSHIKE MSHIKE

ILIAS NA LIANA walikua katika malumbano mdahaloniyaliyokua yakiendelea live moja kwa moja na kituo hicho,baada ya ILIAS kufanya kitendo hicho cha aibu,alishikiliwa na mtangazaji wa kipindi hicho na kumfungia katika studio nyingine lakini ILIAS  mbunge , aliamua kufanya tukio lingine alivunja dirisha na kukimbia.

ILIAS NI MWANAMASUMBWI KUMBE?!



CHEZEA MSULI UMETULIA! NADHANI ANA TATIZO LA KURIPUKWA AKIZIDIWA

ILIAS anatarajiwa kufunguliwa kesi  endapo atakamtwa ,lakini tayari wadadisi wa mambo ya kisiasa wanadai kuwa ILIAS  endapo atakamatwa  anaweza kufungwa jela . Hii  ndo hali ilivyokua.



  



No comments:

Post a Comment