Baadhi ya wazazi nchini UINGEREZA wanaendelea kuishinikiza serikali nchini humo kupiga marufuku uuzaji wa nguo za ndani zinazovaliwa na baadhi ya wanamuziki kwenye video za nyimbo zao.
Wazazi hao walieleza hayo wakati walipokua wakihojiwa na television ya SKY NEWS, walieleza madai yao kuwa ,nguo hizo zina mvuto wa kimapenzi zinapoonekana katika video na watoto wao na hivyo zinasababisha watoto hao kuzisaka madukani na kuzivaa hatua mabayo wanadai si tabia nzuri.
Wanamuziki hao wanaodaiwa kuwa na ushawishi mkubwa kwa teen ages na kuhamasisha ngono katika video zao ni pamoja na KATTY PERRY,RIHANNA,LADY GAGA na BEYONCE.
KATTY PERRY
BEYONCE
LADY GAGA
RIRI
No comments:
Post a Comment