Monday, September 30, 2013

DARASA LA FURSA MWANZA LILIVYOKUA

 
 Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akizungumza mada iliyohusu fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye nishati na madini ndani ya semina ya kamata fursa twendzetu,iliyofanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa Gold Crest.
  Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akimtambulisha mmiliki wa hotel kubwa ya kitalii hapa jijini Mwanza, Gold Crest,Bwa.Mathias Erasto,ambaye pia ni mchimbaji mdogo wa madini,aliyajipatia fursa mbalimbali na kuzitumia ipasavyo na kufikia hapo alipo kimafanikio.
 Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida,Mh.Yahaya Nawanda akizungumzia mada yake iliyohusu suala la ufugaji,hasa kuku wilayani mwake,ambapo pia amewataka vijana kuitumia fursa ya ufugaji wa aina yoyote katika suala zima la kujiletea maendeleo kwa namna moja ama nyingine badala ya kusubiri Serikali iwafanyie ama iwaletee kila kitu hapo walipo.
Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia,Mh Januari Makamba akizungumza kwenye mada yake iliyohusu masuala mbalimbali, kuhusiana na Fursa ya kuongeza thamani na kutengeneza jina,sambamba na fursa ya matumizi ya Teknolojia mbele ya maelfu ya vijana waliojitokeza kwa wingi mapema leo kwenye semina ya kamata fursa twendzzetu,iliyofanyika leo,ndani ya ukumbi Gold Crest,jijini Mwanza.
 Sehemu ya wakazi wa mji wa Mwanza waliojitokeza kwa wingi mapema leo kwenye semina ya kamata fursa twendzetu,wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo,ambapo mada mbalimbali zilikuwa zikizungumzwa. 
  Mmoja wa wasanii wa bongofleva,Nikki Wa Pili akizungumza kwenye semina ya kamata fursa twendzetu.
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Maxcom inayouza bidhaa yake ijulikanayo kama Max Malipo,Bwa.Juma Rajab akizungumzia kuhusiana na fursa ya bidhaa yake ya Max Malipo inavyoweza kuisadia jamii kwa namna moja ama nyingine.
Baadhi Washiriki wakifuatilia.
Mmoja wa waigizaji mahiri wa filamu hapa nchini Elizabeth Michael akijulikana zaidi kwa la kisanii kama Lulu akiwasili kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu,ndani ya ukumbi Gold Crest,jijini Mwanza asubuhi hii,ambapo pia atazungumzia mambo kadhaa mbalimbali kwenye semina hiyo,ambayo itawakutanisha Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia,Mh Januari Makamba,Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini na watoa mada wengine mbalimbali

Mkurugenzi  Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB),Bi.Magreth Chacha alipokuwa akiwasili kwenye  semina ya kamata fursa Twendzetu,ndani ya ukumbi Gold Crest,jijini Mwanza asubuhi hii.

Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia,Mh Januari Makamba akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele (mwenye miwani) akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB),Bi.Magreth Chacha walipokuwa wakiwasili kwenye  semina ya kamata fursa Twendzetu,ndani ya ukumbi Gold Crest,jijini Mwanza asubuhi hii,pichani kati ni Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group,Bwa.Ruge Mutahaba.

Baadhi ya Wakazi wa mji wa Mwanza na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye  semina ya kamata fursa Twendzetu,ndani ya ukumbi Gold Crest,jijini Mwanza asubuhi hii. 
 Sehemu ya meza kuu.

Friday, September 27, 2013

MGENI NJOO




WAZIRI WA UCHUKUZI ASAINI MKATABA WA HUDUMA ZA USAFIRI WA ANGA KATI YA TANZANIA NA SINGAPORE KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (INTERNATIONAL CIVIL ORGANISATION-ICAO), JIJINI MONTREAL, CANADA.

TAARIFA YA WIZARA YA UCHUKUZI KUHUSU BASA NA SINGAPORETAARIFA YA WIZARA YA UCHUKUZI KUHUSU BASA NA SINGAPORE

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UCHUKUZI






TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

ITS ANOTHER SHOP AND BRUNCH EVENT ON 28-29 Sept THIS WEEK END @ AZURA HEALTH AND FITNESS

1238071_1423113157909726_1625859988_n

LULU ANAELEKEA MWANZA KWENYE DARASA LA FURSA KATIKA SERENGETI FIESTA 2013


Gerald Hando a.k.a Nyani Mzee akifanya mazungumzo na Elizabethi Michael a.k.a Lulu katika studio za Clouds Fm leo asubuhi wakati wakijipanga kuelekea Mwanza  asubuhi hii.Lulu ameahidi kutoa madini yatakayo wahamasisha vijana wa mji wa miamba Mwanza! so kaeni mkao wa kula.

BURIANI RUHILA ADATIA-SOOD



Ruhila Adatia-Sood enzi za uhai wake alivyokua

MTUHUMIWA UGAIDI KENYA ALIPITIA ARUSHA



 

Wednesday, September 25, 2013

NILIISUBIRI SANA TAARIFA YA HUYU MAMA NA WANAWE! AM HAPPY NOW

INGEKUA WEWE UNGEFANYA NINI?



Mwanamume huyu rais wa china, ana pua mpya ambayo ina zidi kukua siku hadi siku, imetoka wapi? Kwanini ikue hivyo? Ana upungufu gani? Ama nini kimezidi mwilini? Nifuatilie name nafuatilia.

CASH KINGS 2013: HIP-HOP’S TOP EARNERS




1. Diddy ($50 million)

Diddy tops this year’s Cash Kings list, pulling in $50 million over the past 12 months. All in all, hip-hop’s top 20 earned a combined $343 million.
Hip-hop’s net worth king claims his first annual earnings crown thanks mostly to the success of Ciroc vodka. Other ingredients in his cash cocktail: record label Bad Boy, clothing line Sean John and, soon, cable channel Revolt.

MKANGANYIKO WAENDELEA KUFUATIA RIPOTI ZA KUMALIZIKA KWA MGOGORO WA WESTGATE





PICHA YA MAJERUHI WA WESTGATE ILIYOMFUKUZISHA KAZI MHARIRI WA GAZETI LA SUNDAY NATION KENYA





SERIKALI YAUNGA MKONO REDIO ZA KIJAMII KATIKA KUHAMASISH​A AMANI NA DEMOKRASIA KUELEKEA UCHAGUZI 2015

IMG_6499
Mkurugenzi wa Uvinza Fm Ayubu Kalufya akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwl. Khadija Nyembo kwa Meneja wa Mradi wa Demokrasia na Amani kutoka UNESCO Courtney Ivins mara baada ya kuwasili kwenye halfa ya kuzindua Mradi Wa UNESCO – UNDP wa kuhamasisha Amani katika mchakato wa kukuza Demokrasia katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mwaka 2015 uliofanyika kwenye Kituo tarajiwa cha Redio ya Jamii Uvinza Fm Wilayani Uvinza.

WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI,UWIIII!




Ukiangalia kwa makini huwezi elewa nini nakuonesha kupitia picha hii, lakini tambua tu ya kwamba tumo katika wiki ya nenda kwa usalama barabarani,picha hii inakuja siku moja tu baada ya kamati ya nenda kwa usalama barabarani mkoa wa Dar-es-Salaam kuizindua   ikibeba kauli mbiu inayosema! USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI,WEWE NA SISI SOTE.

Tuesday, September 24, 2013

'YOU’RE A VERY BAD MAN'

Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 4 ,raia wa Uingereza ambaye alinaswa katika jingo la westgate Mall alionesha ushupavu wa ajabu pale alipomkabili mwanamgambo wa alshabab alokua na bunduki na kumpa ya moyoni mwake kwa kumwambia kua ye si mtu mzuri ,mwanamgambo huyo yalimuingia moyoni maneno hayo na kumuomba msamaha motto huyo, imefahamika leo

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA KENYA ALONGA

MZEE MWINYI AWAONYA WANAOTUMIA ELIMU NA UJUZI WAO KUANGAMIZA USTAWI WA JAMII.

DSC_1114
Elizabeth Mwase Programu Manager wa Mtandao wa Watoto na Vijana kutoka Imani Mbalimbali (GNRC) akimpokea Mzee Ali Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa awamu ya pili ambaye alikuwa mgeni rasmi ya Siku ya Kimataifa ya Amani iliyoadhimishwa mwishoni mwa Juma jijini Dar es Salaam ukumbi wa Don Bosco.

Monday, September 23, 2013

JALI WENGINE KWENYE UHITAJI


KIASI CHA UNIT(PINTS)    2,000 KIMESHA CHANGWA MPAKA SASA ILI KUWEZA KUWASAIDIA MAJERUHI WA KINACHOENDELEA WESTGATE MALL, MAELFU YA WAKENYA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI ZA NCHI WAMEKWISHA CHANGIA DAMU KATIKA UWANJA WA UHURU.

PONGEZI KUBWA WAANDISHI WENZANGU NCHINI KENYA

MPAKA MUDA HUU, BADO MVUA YA RISASI INASIKIKA WESTGATE MALL,ALUTA CONTINUA, KILA LAKHERI NA MUNGU AWALINDE WAANDISHI WENZANGU KAZINI, NA PIA WANA USALAMA WANAOPAMBANA KATIKA MJENGO HUO.

TANZANIA YAZINDUA RASMI SIKU YA TEMBO KITAIFA

div class="separator" style="clear: both; text-align: center;">

 Gari la Maliasili likiwa limebeba Meno ya Tembo, wakati wa kujiandaa na Maandamano kuelekea Mlimani city kwa ajili ya maadhimisho hayo
 Msanii wa Muziki wa Kitanzania Mrisho Mpoto akianza kuongoza maandamano kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Kuelekea Ukumbi wa Mlimani City leo.

 Maandamano ya Siku ya Tembo yakiwa yanaendelea kuelekea ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Kongamano hilo
 Wasanii wa Mrisho Mpoto wakiwa wamebeba chatu katika maadhimisho ya Siku ya Tembo Kitaifa leo
Mkurugenzi wa wanyamapori  Wizara ya maliasili na utalii Prof. Alexander Songorwa akisoma Hotuba kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na utalii.


 Wadau mbalimbali wa utalii na kupinga mauaji dhidi ya Tembo wakiwa wanafuatilia kwa umakini maadhimisho ya Siku ya Tembo kitaifa.
 Wanafunzi kutoka Shule ya Jitegemee wakiwa wanafuatilia kwa umakini Maadhimisho hayo
Mrisho Mpoto akiwa anatumbuiza katika Maadhimisho hayo ya siku ya Tembo
Mmoja ya waratibu wa Shuguli za Siku ya Tembo kitaifa Issa Isihaka kushoto akifuatilia kwa umakini siku ya Tembo kitaifa


 Picha ya Pamoja ya Viongozi Mbalimbali wa Serikali na wadau


Tone Multimedia Company Limited Plot No.223/225 Block 46, Umoja Street Kijitonyama P.O Box 32529 Dar es salaam Tanzania Tel +255 22 2772919 Fax +255 22 2772892 Mob +255 713604432 E-Mail info@toneradiotz.com blogzamikoa@live.com Web: www.toneradiotz.com www.blogszamikoa.blogspot.com www.stayintanzania.blogspot.com

POLENI SANA WAKENYA




American pastor TD Jakes, was mourning with Kenyans following Saturday's attack at Westgate Mall in Nairobi.
The accomplished Texas bishop, with over 30,000 church members tweeted his message on Saturday.

@TD Jakes        @BishopJakes

I am so saddened to hear of the deaths and woundings of our Kenyan family! Our prayers are there with you!

PRESIDENT UHURU'S FULL STATEMENT ON WESTGATE ATTACK



HAWA NI BAADHI YA WALOTAJWA KUFA



Details are emerging about some of those who died in the attack on a Nairobi shopping centre by suspected al-Shabab militants.