Happy birthday Dina, all the best and bright future
KATIKA sauti ambazo hurindima na kusikilizwa sana kwenye anga za miji mikubwa ya Tanzania majira ya mchana ni ya Dina Marios, mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds FM.
Ni mwendeshaji wa kipindi cha Leo Tena. Amefanikiwa kujikusanyia mashabiki wengi kutokana na ubunifu na mbwembwe zake.
Dina hayupo peke yake katika safari ya kipindi hicho cha saa tatu kinachorushwa kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa, huwa na watangazaji wengine wawili, Gea Habibu na Zamaradi Mketema wakisaidiwa na Bi Ponza.
LEO NI BIRTHDAY YA DINA MARIOS, KEKAJO.BLOGSPOT.COM INATOA KAULI IFUATAYO, "Another fresh year begins, another year to live life to the fullest, Happy Birthday gorgeous."
No comments:
Post a Comment