Friday, November 16, 2012

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA ZIARA YA NDANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro , tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha


                                     Mungu kwanza mengine baadae maombi yalitangulia mazungumzo.



Dua nayo ilichukua mkondo wak,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa dua na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro ,tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha

Pamoja tunaweza.

No comments:

Post a Comment