Wednesday, November 28, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA BAGAMOYO, ABDALLH MASOUD JEMBE



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe, anayesumbuliwa na maradhi, wakati Makamu wa Rais alipofika nyumbani kwa Sheikh huyo, eneo la Ramiah mjini Bagamoyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Sheikh wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe, wakati alipofika nyumbani kwa sheikh huyo eneo la Ramiah mjini Bagamoyo, kwa ajili ya kumjulia hali kutokana na maradhi yanayomsumbua sheikh huyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi.

No comments:

Post a Comment