Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo juu ya ukarabati wa ukumbi wa
mikutano wa 'White House' ulio katika makao makuu ya CCM mjini Dodoma ambao
unafanyiwa ukarabati mkubwa ili kukidhi mahitaji ya sasa. Rais Kikwete
alisimama kwa muda mjini Dodoma siku ya Jumanne Novemba 6, 2012 akitoka katika
ziara ya kikazi mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Singida alikokagua
jumla ya miradi 19 ndani ya wiki moja.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maandalizi ya
ukumbi utaotumika wakati wa mkutano Mkuu wa CCM ulio kitongoji cha Kizota mjini
Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maandalizi ya
ukumbi utaotumika wakati wa mkutano Mkuu wa CCM ulio kitongoji cha Kizota mjini
Dodoma.hali inavyoonekana sasa kimpangilio.
Mafundi
rangi wakiwa kazini kuweka mambo sawa nje ukumbi utaotumika wakati wa
mkutano Mkuu wa CCM ulio kitongoji cha Kizota mjini Dodoma .
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongiozi wengine
wakitembelea maeneo ya ujenzi mjini Dodoma .
wenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongiozi wengine
wakipata maelezo toka kwa Katibu Mkuu wa CCM Bw. Wilson Mukama juu ya
maandalizi ya ujenzi wa makao makuu na vitega uchumi wa chama hicho mjini
Dodoma
No comments:
Post a Comment