Tuesday, November 13, 2012

MIJIPICHA YA GODFREY MONYO NA GADIYOSA



Itifaki ya kimila imezingatiwa! Mr na Mrs Monyo wakiria mbege na maharusi.

Ukiisha pokea una ria, inaeleweka.


 Baada ya kuria ruksa kuingia ukumbini

watu wamesimama kuwaruhusu maharusi kuingia!

Beutiful onyinyeee rahaje?


mbwembwe za kila aina zilikuwepo, huu mripuko wa virembesho uliku wakutosha pamoja na spray ya povu.


Mzee Monyo akitoa nasaha.

Kwa mchagga hii kitu lazima iwepo shughulini, hata kuwe na keki ngapi za unga, ndafu ni lazima iwepo.

Kwa pamoja, kwa upendo ndafu inakatwa.


ndo walivyovyaa maharusi bila mpambe Eligius.

Abel Ngapemba na mkewe Anna Peter, mfanyakazi wa Itv na Redio One.

Mmoja kati ya mamc wengi waliokuwepo, Mc Regina Mwalekwa.


Mashaka Mgeta, Somoe Ng'itu, Peter Mwendapole na Beatrice mwandishi wa Nipashe.


Watu walifurahi bana hii ni Guardian ltd


kiukweli walifurahi ni kujiachia tu.

 Kambi popote si lazima katikati  ya watu. wafanyakazi wa Guardian Ltd wakijimwayamwaya pembeni ya uwanja.

Wakati wengine wanajiachia kwa kucheza1 wengine walikua wanafurahia mezani, Kutoka kushoto Sam Buko,Domitila mke wa Samuel Buko na double G.

KUTOKA KUSHOTO Anna Peter,Domitila na Mc Sunday.


 Gondwe akiongea na Paul Malimbo.


Anna, Abel na Domitila.


Mkono wa pongezi kwa maharusi ilikua ni kawaida tulojiwekea.

Zainabu Chondo,Sam Mahela,Rehema Salim na mumewe.
Ester na Salum Mkambala niliwahi kufanya nao kazi ITV NA REDIO ONE
Mamaa ya raha tele-blogg a.k.a CAREEN aki upload matukio harusini siku hiyo.

Ankali Issa Michuzi alikuwepo naye mdau namba 1.
Picha nyingi mno sina namna naomba niishie hapa.

No comments:

Post a Comment