Waziri wa Kilimo na Chakula wa Turkey Mchmet Mehdi Eker kulia akiwa pamoja na Balozi wa Turkey nchini Tanzania Ali Davutoglu wakimsikiza Waziri wa Habari Utalii,Utamaduni na Michezo Saidi Ali Mbarouk hayupo pichani walipokua wakibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha sekta ya Utalii Zanzibar huko katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni .
Ujumbe wa Turkey ukiongozwa na Waziri wa Kilimo na Chakula wa Turkey Mchmet Mehdi Eker wakimsikiza kwa makini Waziri wa Habari Utalii,Utamaduni na Michezo Saidi Ali Mbarouk mwenye suti kushoto huko katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni .
Waziri wa Habari Utalii,Utamaduni na Michezo Saidi Ali Mbarouk akimpa zawadi ya nembo ya visiwa vya Unguja na Pemba mgeni wake ambae ni Waziri wa Kilimo na Chakula wa Turkey Mchmet Mehdi Eker.
Nae Waziri wa Kilimo na Chakula wa Turkey Mchmet Mehdi Eker akimpa zawadi Waziri wa Habari Utalii,Utamaduni na Michezo Saidi Ali Mbarouk huko katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni .
No comments:
Post a Comment