MKUFUNZI WA SEMINA HIYO MR.FARAJA JOHN KUTOKA RADIO AFYA AKIENDELEA NA KUTOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI.
JIMMY LUHENDE KUTOKA MWANZA AKIWA NA VERONICA NATALIS WA RADIO FARAJA FM.
JIMMY LUHENDE AKITOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KATIKA KIPENGELE CHA MAENDELEO.
REGINA MWALEKWA KUTOKA CLOUDS MEDIA WAKIJADILIANA JAMBO NA FRANK KASAMWA KUTOKA MASS MEDIA YA SIMIYU.
KIJUKUU CHA BIBI K AKITOA UFAFANUZI UFAFANUZI KUHUSU VIPINDI VYA RADIO KAHAMA VINAVYOHAMASISHA UTAWALA BORA.
KIKAZI ZAIDI, HAPA KIJUKUU CHA BIBI K AKIHAKIKISHA WADAU WA KAHAMA FM NA BLOG YA KIJUKUU CHA BIBI K WANAPATA KILA KITU KATIKA DUNIA YA MAWASILIANO.
HAPA TUKIWA KATIKA KIKUNDI KAZI KUTOKA KUSHOTO NI VERONICA NATALIS WA FARAJA FM,FATMA WA SIBUKA FM,KIJUKUU CHA BIBI K WA KAHAMA FM NA REGINA MWALEKWA WA CLOUDS MEDIA.
BAADA YA MAFUNZO WASHIRIKI WALIKUWA NA DESTURI YA KUKAA PAMOJA WAKATI WA JIONI NA KUBADIRISHANA MAWAZO
REGINA MWALEKWA AKIPATA KIFUNGUA KINYWA KUWEKA MWILI NA AKILI SAWA.
JAMAA ALIMMISS BIBI YAKE ILIKUWA FULL KUONGEA NA BI MKUBWA.
BAADA YA KAZI ZA DARASANI TULIGAWANYIKA KWENDA VIJIJINI KUNA KUNDI LILIENDA MEATU NA KUNA KUNDI LILIELEKEA PANDAGICHIZA.
SAFARI YA KWENDA MEATU IKAIVA FULL KIYOYOZI AISEEEEEE.
HAPA TUKIWA ITILIMA KATIKA MGOGORO WA ARDHI REDIGA MWALEKWA ALIYESHIKA MIC AKIENDELEA NA KAZI.
GODFREY KUSOLWA KUTOKA RADIO FREE AFRICA MWENYE RECODER AKIENDELEA NA KAZI KATIKA KIJIJI CHA ITILIMA.
HAPA MR GODFREY KUSOLWA AKITUMIA MBINU ZA UANDISHI KUMSHAWISHI MAMA ALIYEKATAA KUZUNGUMZA AWEZE KUZUNGUMZA.
HAPA KIJUKUU CHA BIBI K ALIYEKAA AKIWA KATIKA KIJIJI CHA PANDAGICHIZA AKIFANYA KIPINDI CHA TV KUHUSU KERO YA MAJI KATIKA KIJIJI HICHO.
INATAKIWA NGUVU YA ZIADA SANA KUPATA MAONI YA MTU KUHUSU MATATIZO YA VIONGOZI VIJIJINI.KIJUKUU CHA BIBI K AKIZUNGUMZA NA WANAKIJIJI.
KUNA WAKATI UNAWEZA KUHATARISHA MAISHA UKIWA KAZINI,HAPA MR KISUMA KUTOKA OXFAM AKIWA JUU YA GARI KUCHUKUA MATUKIO KATIKA KIJIJI CHA PANDAGICHIZA.
JAMAA HUYU HUSAFIRI UMBALI WA KM 5 KILA SIKU KUFUATA MAJI KUTOKA KATIKA KIJIJI CHA SAYU KATIKA KATA HIYO.KIJUKUU CHA BIBI K AKIFANYA MAHOJIANO NA MKAZI WA KIJIJI CHA SAYU SHINYANGA VIJIJINI.
MAMA AKIZUNGUMZA KWA UCHUNGU SANA MARA BADA YA KUTOKA KM 5 KUFUATA MAJI.
MABINTI WAKIELEKEA KISIMANI KUFUATA MAJI,UMBALI WA KM 5.
SIKU IMEISHA KUNA WAKATI ANALAZIMIKA KUTOKELEZEA ILI KUANGALI MAMBO MENGINE YA KUMPUMZIKA JAMAA ANAITWA KIJUKUU CHA BIBI K WA RADIO KAHAMA FM Ahahahahahhaha
WASHIRIKI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI PAMOJA NA WADAU WA MAENDELEO KATIKA PICHA YA PAMOJA.
No comments:
Post a Comment