Hussein Ramadhani a.k.a Sharo Milionea
Msanii Maarufu nchini Tanzania aliyekuwa anakuja kwa kasi katika muziki na pia matangazo ya biashara likiwemo la Airtel Money la kampuni ya simu ya Airtel Hussein Ramadhani aliyejulikana kwa jina la Sharobaro a.k.a Sharo Milionea amefariki dunia
Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Afande Constatine Masawe, amethibitisha kutokea kwa kifo cha wa Sharobaro, kufuatia ajali ya gari katika kijiji cha Lusanga, Muheza,mkoani Tanga ambako ndio nyumbani kwao. Taarifa zinasema kuwa Hussein Ramadhani au Sharo Milionea alikuwa akiaendesha gari namba T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza alipofika eneo la ajali gari lake liliacha njia na kupinduka mara kadhaa na kusababisha kifo chake, mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali Teule ya wilaya ya Muheza.
Katika eneo hilo inasemekana hakuna kona kali sana wala ubovu wa barabara kwenye sehemu aliyopata ajali Sharo Milionea tazama video ya Back From New York aloact SharoMillionea.

No comments:
Post a Comment