Rais Kikwwete akiongea wakati wa makabidhiano ya fedha za
kusaidia kupambana na ugonjwa wa Fistula ,katika hospitali ya CCBRT jijini
Dar-Es-Salaam,ambapo kampuni ya simu za kiganjani Vodacom Tanzania ,kupitia
kampeni yake maalum iliyofanikishwa na huduma ya Mpesa ,ilitoa kiasi cha
pesa shilingi bilioni 8.
No comments:
Post a Comment