hii
kali sijui askari huyu alikuwa anachora nini hapo chini hii ni barabara ya
mbeya peak kwenda uwanja wa sokoine mbeya
kwakweli imechukua muda kama
dakika tano akiendelea kuchora hapo chini tumeshindwa kupata namba zake au jina
lake lakini tunahisi huwenda mahesabu ya kifedha yanamsumbua.
sasa kainuka na kuanza kufuta
kwa buti lake maandishi alioandika hapo chini picha kwa hisani kubwa ya JOSEPH MWAISANGO.
No comments:
Post a Comment