Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo alipofika kutoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta, aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam. Makweta enzi za uhai wake aliwahi kuwa Mbunge na Waziri katika wizara mbalimbali, hapa nchini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Uratibu wa Bunge, William Lukuvi, akitoa heshima za mwisho
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta.
Mke wa Rais Mama Salma akiwafariji wana familia wa marehemu Jackson Makwetta.
No comments:
Post a Comment