Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
ujumbe wa kampuni inayojenga bomba la gesi asilia kutoka Mtwata hadi Dar es
salaam, Benki ya Exim ya China na viongozi waandamizi wa serikali
alipowakaribisha Ikulu kwa
mazungumzo baada ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa bomba hilo maeneo ya Kinyerezi
jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua
rasmi ujenzi wa bomba la gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es salaam jana Novemba
8, 2012 maeneno ya Kinyerezi njijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na viongozi wengine wakimsikiliza
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo juu ya miundombinu ya
bomba la gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es salaam,
maeneno ya Kinyerezi njijini Dar es salaam. kushoto kwa Rais ni Makamu wa Rais Dkt
Mohamed Ghalib Bilali.
No comments:
Post a Comment