Wednesday, November 28, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA OFISI YA CCM MAKAO MAKUU YA WILAYA YA BAGAMOYO



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mjumbe wa NEC Taifa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi na wanachama wa CCM, baada ya kuzindua rasmi Ofisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ya Wilaya ya Bagamoyo.
Hotuba ikiendelea.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mjumbe wa NEC Taifa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM, baada ya kuzindua rasmi Ofisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ya Wilaya ya Bagamoyo.

No comments:

Post a Comment