Jeneza lenye mwili wa Hussein a.k.a Sharo MILLIONEA.
Aliyekua Sharo Millionea akiombewa dua kabla ya maziko.
Ndugu jamaa na marafiki wakishiriki katika duaa hiyo!
Sehemu ya umati wa jamii iliyomsindikiza Sharo Millionea katika nyumba yake ya milele, O MAMAAA!its hard, lakini kazi ya Mungu haina makosa.
Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment