Zamaradi Mketema wa Clouds Media Group.
Mtangazaji wa kipindi cha 'Take One' cha Clouds TV Zamaradi Mketema, amefikwa na msiba wa mama yake mzazi, aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa.
mama yake Zamaradi ambaye ni mama yetu pia alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu, jijini Dar-Es-Salaam. Kegajo.com inampa pole Zamaradi na ndugu wote, wana Clouds Media Group na marafiki wote kwa msiba huo, R.I.P mammy!!!!

No comments:
Post a Comment