Tuesday, November 6, 2012

WANAWAKE WAJASIRIAMALI NA BIDHAA ZA MTI WA MBUYU

Bw. Alexio Musindo sambamba na Mwenyekiti wa MOWE Bi. Elihaika Mrema (katikati) wakiangalia bidhaa zitokanazo na Mti wa Mbuyu wakati wa sherehe za ufungaji wa maonyesho ya Wanawake Wajasiriamali MOWE 2012 yaliyomalizika hivi karibuni katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar.
Balozi akitembea banda la ILO katika maonyesho ya MOWE 2012.
Balozi wa Malawi akipata maelezo toka kwa team ya ILO walioandaa maonyesho ya MOWE kwa kushirikiana na Taasisi ya WAMA.

Balozi wa Malawi na Mkurugenzi wa ILO nchini wakinunua mifuko maalumu ya kuhifazia Laptops na iPad iliyotengenezwa kwa ubunifu mkubwa kwa kutumia malighafi ya Tanzania Kitenge toka kwa Mwanamke Mjasiria mali wa MOWE 2012 katika maonyesho hayo.
Bwana Pius Mikongoti wa GS1 akitoa Mada kuhusu Barcode kwa washiriki wa MOWE 2012.
Picha ya Pamoja Kamati ya MOWE na wageni rasmi siku ya kufunga maenyesho ya MOWE 2012.

No comments:

Post a Comment