Hivi ndivyo anavyoonekana mtoto Aneth, alivyounguzwa na mama
yake mdogo
Sehemu ya uso ilivyo haribika.
huyu ndiyo mama mdogo wa aneth
amejulikana kwa jina la bahati lukangara ndiyo aliyemuunguza mtoto anethi.
Mama mdogo akiwa amewekwa kitimoto.
hapa
majirani wakijaribu kumuuliza sababu za kumuunguza huyo malaika wa mungu nini
sababu yake mpaka akachukua hatua ya kumuunguza lakini kwa kiburi cha huyo mama
alikaa kimya kabisa bila ya kujibu chochote
mwenyekiti wa mtaa huo habiba
mwakitalu amembeba mtoto aneth tayari kwa kumpeleka hospitali huku nyuma
akifuatiwa na mweshimiwa diwani kata ya majengo samweli.
Bahati akipelekwa kituo cha polisi.
Mtuhumiwa na mgonjwa
wanaingizwa katika gari la mweshimiwa diwani tayari kwa kupelekwa polisi.
hatimaye
mtoto anethi aliyechomwa moto na mama
yake mdogo amekatwa mkono wake wa
kushoto.
PICHA KWA HISANI YA JOSEPH MWAISANGO.
No comments:
Post a Comment