Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi Katunzi akizungumza katika harambee hiyo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi.
Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro akipokea mchango wa shilingi milioni tatu kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa ukiwa ni mchangop wake kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana iliyofanyika jijini Dar-Es-Salaam.
Meneja mawasiliano wa TCRA Innocent Mungi akikabidhi mchango wa shilingi milioni tano kwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mstaafu, Dk. Asha Rose Migiro wakati wa harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mwanasheria wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate akipeana mkono na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Matifa, Dk. Asha Rose Migiro baada ya kuchangia katika harambee ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike ambapo jumla ya shilingi milioni 278 zilipatikana katika harambee hiyo
Miss Tanzania 2005, Nancy Sumari akikabidhi mchango wa dola za kimarekani 1,000 kwa Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiromgeni ambaye alikuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Radio One, Deogratius Rweyunga akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro ambaye alikuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya harambee ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike iliyofanyika jijini Dar es Salaam .
Mmiliki wa Blog ya 820, Shamim Mwasha, akitoa mchango wa shilingi laki 6.5 alizokusanya kutoka kwa wasomaji wa mtandao wake.
Baadhi ya wadau waliojitokeza katika harambee hiyo
Wasanii wa kundi la THT wakitumbuiza katika harambee hiyo.
No comments:
Post a Comment