Friday, June 28, 2013
HONGERA WASIWASI MWABULAMBO NA MA MSAPU
BWANA HARUSI WASIWASI MWABULAMBO ALIINGIA SALON KWA SCRUB KWANZA KABLA HAJAVAA, NA HII NI YEYE PAMOJA NA PATRON WAKE.
HAMNA HAMNA NDIMO MLIMWAMO
Maharusi Bwana na Bibi Paul James wakiwa na wapambe wao ndani ukumbi wa
Shekinah Garden uliopo Mbezi Makonde wakisubiri kupokea zawadi kutoka kwa
wageni waalikwa mara baada ya kumeremeta mwisho mwa Juma kwenye Kanisa la St.
Gaspar Catholic la Kunduchi jijini Dar es Salaam
Mtangazaji wa Power Breakfast ya Clouds Fm Paul James a.k.a PJ afunga ndoa na Beatrice Wilbard Uiso.
Mtangazaji wa Power Breakfast ya Clouds Fm Paul James a.k.a PJ afunga ndoa na Beatrice Wilbard Uiso.
Thursday, June 27, 2013
Wednesday, June 26, 2013
SHAMPEIGN MPYA YAZINDULIWA DAR
MJENGONI LEO
Tuesday, June 25, 2013
HAMKANI SI SHWARI TENA TEOFILO KISANJI
Kaimu Mwenyekiti wa TEKUASA Amani Simbeye akifungua mkutano kati ya waandishi wa Habari na Waahadhiri wa Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji(TEKU)
Monday, June 24, 2013
WATOTO WALIOUNGANA, KUPELEKWA INDIA KUFANYIWA UPASUAJI WA KUWATENGANISHA
ULIKUA NI WAKATI MGUMU SANA KWA BARNABA
Huu ndio Ujumbe wa Barnaba Boy Classic kwa
friends wake wa BBM
"Nasikitika sana san jamani siwez eleza lakin naumia naumia naumia san sana sana. Jamani.. Asubu ya leo. Kwangu imekuwa mbaya mbaya. Sema ndo siwez laumu ila mama angu mzazi alieniza amefariki. Dunia kwa PRESHA. Jamani naumia sana sana... Jamani. natamani aamke aniage kidogo ndo aondoke naumia jamani.
"Nasikitika sana san jamani siwez eleza lakin naumia naumia naumia san sana sana. Jamani.. Asubu ya leo. Kwangu imekuwa mbaya mbaya. Sema ndo siwez laumu ila mama angu mzazi alieniza amefariki. Dunia kwa PRESHA. Jamani naumia sana sana... Jamani. natamani aamke aniage kidogo ndo aondoke naumia jamani.
AZIMO LA MAZINGIRA BORA NA SALAMA KWA WAANDISHI WA HABARI KAZINI LAZINDULIWA JIJINI DAR
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Tamko la Mount Meru la kuwalinda waandishi wa habari wakiwa kazini Afrika Mashariki, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Bw. Francis Stolla akizungumza machache wakati wa uzinduzi huo ambapo alisisitiza umuhimu wa uhuru wa vyombo vya habari katika kujenga Demokrasia na Utawala Bora katika Ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Misa-Tan Bw. Mohammed Tibanyendera (wa tatu kushoto), Mjumbe wa MCT Bw. Allan Lawa (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Bw. Abubakar Karsan ( wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa MISA-TAN Bw. Tumaini Mwailenge (kushoto).
Friday, June 14, 2013
HUYU AMEWEZA! SISI JE?
Ikiwa mbwa huyu amethubutu kuuchezea mpira huu , yeye ameweza ana nini sisi tushindwe tuna nini? TANZANIA GOOOOO
UNAMKUBUKA ABEDI MZIBA A.K.A TEKELO? ALISAKATA GOZI 1982-1992 JANGWANI
Thursday, June 13, 2013
Wednesday, June 12, 2013
KAGASHEKI ANG’AKA, “UNATETEA VIPI KONTENA LENYE MENO YA NDOVU NA ORIGIN YAKE NI DAR?”
Unaieleza vipi, na unatetea
vipi, kontena lenye meno ya ndovu, wanakwambia kwamba origin yake ni bandari ya
Dar es Salaam. Pale bandarini, kuna vyombo mbalimbali --kuna polisi, kuna
customs TRA, kuna watu wa pori wenyewe, kuna watu wa usalama, na kadhalika --
kontena linatoka na meno ya ndovu, linakwenda kukamatiwa Hong Kong, linakwenda
kukamatiwa Philippines, linakwenda kukamatiwa Vietnam. Kama yapo masuala ya
msingi jamani tujiulize, kontena linatokaje? Utaratibu ni upi wa kontena kutoka
nchini? Tusaidiane. It is risky, kuna pesa nyingi, lakini some people inabidi wafanye
wanavyo weza kufanya for the future of the country lakini pia vizazi vijavyo,
vitatuhukumu
MZEE TIMOTHY APIYO AFARIKI DUNIA AFRIKA YA KUSINI
UNYANYASAJI WAWEKEWA MKAKATI MBEYA-WAANDISHI WAFUNDWA
*MWENYEKITI WA CCM JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUPOKEA RASIMU YA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akiongoza kikao cha Maalum ya CCM 'Kamati Kuu' kilichokutana jana usiku mjini Dodoma kwa ajili ya kuipokea Rasimu ya Katiba mpya, iliyosomwa hivi karibuni.
Tuesday, June 11, 2013
Monday, June 10, 2013
MAHAFALI YA KUFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA KOZI NAMBA 20 KWA ASKARI MAGEREZA YAFANA MKOANI MBEYA.
DIAMOND ALIVYONG'ARA CONGO
Friday, June 7, 2013
UGANDA: UKIMWI KUPIMWA NYUMBA HADI NYUMBA
KHADIJA KOPA BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA KIFO CHA MUMEWE
Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya kushoto
akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija omar Kopa
alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa
Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf
aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua
akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa
Namanyere
MOTO WATEKETEZA BAA NA NYUMBA KINONDONI
Nyumba nne zimeungua moto ikiwemo baa moja iliyopo Kinondoni maarufu kama Kinondoni sterio ambayo imeteketea yote huku ikiacha hali ya sintofahamu ...
Thursday, June 6, 2013
MALKIA WA TWARABU TANZANIA AFILIWA
Bi Khadija akiwa na mumewe Jaffari Ally, enzi za uhai wa mumewe .
Mume wa Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Omar Kopa, aitwaye Jaffari Ally amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na matatizo katika mfumo wa upumuaji na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN.
Wednesday, June 5, 2013
The Rolling Stones & Taylor Swift - As Tears Go By - Live in Chicago
Mdada mrembo nguli wa country music Taylor Swift jana amefanya kweli huko Chicago, akiwa na mwimbaji wa kundi la The Rolling stone.Katika wimbo uitwao 'As Tears Go By',wimbo ambao ni wa kwanza kuandikwa na Jagger/ Richards, na kuimbwa huko katika United Center in Chicago
Subscribe to:
Posts (Atom)