Wednesday, July 31, 2013
Tuesday, July 30, 2013
FORMER PREMIER LEAGUE STRIKER CHRISTIAN BENITEZ DIES SUDDENLY OF SUSPECTED HEART ATTACK AGED 27
Monday, July 29, 2013
SIMON SIMALENGA A.K.A MR DIMELA A.K.A MWANASHERIA APATA JIKO
Kambi ya Wasinii wa Filamu na
Maigizo pamoja na Kambi ya Waanahabari Makapela Tanzania imepata pigo kubwa
baada ya Mwanachama wake Nguli, Simon Simalenga kuamua kuiaga kambi hiyo na
kuingia rasmi katika Kambi Tawala ya Wanandoa baada ya kufunga Ndoa na Bi.
Neema Inana. Wawili hao wameamua kuiga kambi hiyo ya Upinzani katika mahusiano katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi Sinza jijini
Dar es Salaam na baade katika tafrija kubwa ILIyofanyika wa Julai 27,
2013 katika ukumbi qa Grande Hall uliopo ndani ya Hoteli ya Picolo Beach Mbezi.
RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA BUKOBA
RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI MULEBA
Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani Kagera
Friday, July 26, 2013
SOGA
Thursday, July 25, 2013
TANGAZO LA MSIBA LONDON.
Familia
ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA
FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK.
Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako
wa dhati unahitajika ili kufanikisha maziko ya Binti Yetu Mpendwa, Ambayo
Yamepangwa Kufanyika IJUMAA TAREHE 26 July 2013. Gharama za maziko ni £3000
tunaomba chochote ulichonacho ilikufanikisha maziko haya. Michango yote inwekee
kwenye account ya:
MR A ALFAGHEE
Sort
09-01-27
Account
Number 11832254
Santander.
Asanteni
Kwa Ushirikiano Wenu
R.I.P
MAIMUNA FATMA KARUMBA
MAJANGA SPAIN
Wednesday, July 24, 2013
KWA TAARIFA YAKO TU!
MFUMO MPYA WA USAJILI WA VIZAZI NA VIFO KUPITIA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO WAZINDULIWA JIJINI MBEYA
Picha ya pamoja mara baada ya kuuzinduliwa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA,imefanyika kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Tuesday, July 23, 2013
WAFANYAKAZI WA TTCL MBEYA WATAKIWA KUSHIRIKIANA.
TANGA SOBER HOUSE: REHAB INAYOWANUSURU VIJANA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, YAPUNGUZA MATEJA TANGA
Idadi
kubwa ya vijana wanaojiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya inaweza
kupungua ama kuisha kabisa endapo waathirika wa utumiaji wa dawa hizo
watatumika kutoa elimu kwa vijana wenzao ambao bado hawajaingia katika janga
hilo ambalo ni hatari sana kwa nguvu kazi ya taifa.
Monday, July 22, 2013
Friday, July 19, 2013
WAZIRI WA UCHUKUZI AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI ZA ALHAYAT NA NEMBRAS INVETSMENTS
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia), akifafanua jambo kwa Mweyekiti wa Kampuni ya Alhayat Investment na Nembras Investment ya nchini Oman, Shekhe Salim Al-Harthy, wakati walipomtebelea ofisini kwake leo mchana. Kampuni ya Alhayat investment ni kampuni ambayo imeonyesha nia ya kuwekeza kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Thursday, July 18, 2013
Tuesday, July 16, 2013
Monday, July 15, 2013
WISEMAN MBEYA MPAKA DAR-ES-SALAAM
Friday, July 12, 2013
MOJA YA KUMBUKUMBU ZANGU
MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA MWANZA NA WA MANISPAA YA ILALA WALA FUTARI YA PAMOJA JIJINI MWANZA.
Thursday, July 11, 2013
SHEHENA YA PEMBE ZA NDOVU YA MOMBASA NI ZAIDI YA TANI 3
Wednesday, July 10, 2013
KUTOA NI MOYO
Miss
Tanzania 2012, Brigitte Alfred (kulia) akipokea hundi yenye thamani ya shilingi
Milioni 4.1 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Susan Omari jijini Dar es Salaam jana. Fedha
hizo ni kwaajili ya ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi
(Albino) linalojengwa katika shule ya Msingi Buhangija mkoani Shinyanga. (Picha
na Kamati ya Miss Tanzania).
SHORT CUT ITATUUA WAJAMENI!
hatariii
kiwira wilayani rungwe watumia mikokoteni kusafirishia nyama iliyotoka
machinjioni. huu ni mkokoteni unaotumika kusafirisha nyama ya mifugo mbalimbali
iliyochinjwa machinjioni na kupelekwa kwenye mabucha ya kuuzia nyama kiwira
wilayani rungwe.
WAZIRI WA UCHUKUZI AZINDUA MPANGO WA UFATILIAJI UFANISI WA UCHUKUZI KATIKA UKANDA WA KATI NA NCHI JIRANI
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akihutubia katika
uzinduzi wa mpango wa ufatiliaji ufanisi wa uchukuzi kanda ya kati na nchi
jirani za Burundi, Rwanda, Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na Uganda, leo
katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam. Mpango huu utakuwa wa miaka minne
na umefadhiliwa na Shirika la Trade Mark East Africa (TMEA).
Tuesday, July 9, 2013
MAKAO MAKUU YA MKOA MPYA WA SONGWE KUBAKI MKWAJUNI
Monday, July 8, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)